Leave a comment

I NEED AN EXPLANATION/CAMPOSHIZZO LYRICS


CAMPOSHIZZO LYRICS
verse one;
mi ni ninarhyme me ni king wa campo
huku niki floss na madem wa ku
nani alikusho ninakwanga libu
iyo sio siri mi ulala longo
kama ni mafala wako reading area
mi ni km juu ya kerea
wacha kuni mind kuni fikiria
day ya exam nitachulia
sisi ni maboys tunadunga pia
kama ni dem tuna kukatia
usidaidai iyo ni hatia
hii ni intro ninakupatia

chorus;
hii inaitwanga camposhizzo
camposhizzo,camposhizzo
hii inaitwanga camposhizzo
camposhii,camposhizzo*2

verse two;
hii inaitwanga ku shizzle
left to the right can you flex your muscle
chuo kikuu pia tunahusle
ndio tukapate hizi manukato
ndo mana mangoma ninafanya ku
pia na wengine wako usiu
siezi jo kulenga wasanii wa nairo
juu ya madem nimejenga hii flow
huku nikidhani mii moseti collo
nitarise up kama king wa campo
keroro mzieya staweka kando
sa ninadai kutafuta g
mwenya anaweza kunmigei ma d
nukafanye biz ya kukinda t
lakini nyi pia mkabuy ma c
d kama thao mkajenge mii
campo mzeiya nimefanya hii
EW kule mwisho D
hii ngoma nim,eduu nimemanga feee

chorus*2

verse three;
kama unijui nimetoka shuge
mogoka nabamba mitaa ya gafe
masomo nafanya mitaa ya uk
ngoma nafanya naroga dj
twende tupewe utaki si u stay
nipe kamoja nichome niwe
kama wazeiya na tei kwa head
doo tunapewa na mashuga mathe
kwao tukigo tunaitwa uncle
hizi ndizo vitu tunafanya campo tunachop pia tunakwenda tao
moseti dmc naitwa collo

chorus *4
kwisha

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: